Maafisa wa kampuni uuzaji mashamba ya AIMI MA LUKENYA washtakiwa kwa kuwalaghai wawekezaji

  • | KBC Video
    77 views

    Maafisa watatu wa kampuni ya ununuzi na uuzaji mashamba ya AIMI MA LUKENYA wameshtakiwa kwa kuwalaghai wawekezaji kwenye kipande cha ardhi ya ekari 4000 inayomilikiwa na kampuni ya saruji ya EAST AFRICAN PORTLAND. Julius Mutie Mutua, Pascal Kiseli na Alex Kyallo Mutemi walifikishwa mbele ya hakimu mkuu Bernard Ochoi ambapo walikanusha madai ya kupokea pesa kwa njia ya udanganyifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News