Maafisa wa kampuni ya Supreme Packaging Limited wahojiwa kuhusiana na sakata ya mbolea ghusi

  • | Citizen TV
    163 views

    Kamati Ya Bunge Kuhusu Kilimo Imewahoji Maafisa Wakuu Wa Kampuni Ya Supreme Packaging Limited Ambayo Iliisambazia Kampuni Ya Kel Chemicals Magunia Ya Kupakia Mbolea Inayodaiwa Kuwa Ghushi. Wakuu Wa Kampuni Hiyo Wanasema Kuwa Kel Chemicals Haikuwasilisha Barua Ya Kuonyesha Kuwa Imeidhinishwa Na Mamlaka Ya Nema Ya Kuweka Karatasi Za Plastiki Kwneye Magunia Ili Kuzuia Unyevu.