Maafisa wa KDF waimarisha operesheni kwenye Bonde la Ufa

  • | NTV Video
    1,733 views

    Maafisa wa KDF wameimarisha operesheni kwenye bonde la ufa kwa kurusha makombora katika maeneo yaliyotekwa na majahili. Hatua hiyo imepigwa jeki na wakazi wa eneo la Baringo Kaskazini, waliokandamizwa na wahuni hao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya