Maafisa wa Kenya, Tanzania waendeleza vikao vya umma kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa vigingi

  • | Citizen TV
    203 views

    Maafisa wa Kenya na Tanzania wanaendeleza vikao vya umma kuhamasisha wananchi wa Mataifa haya mawili kuhusu umuhimu wa kulinda vigingi vinavyoonyesha mpaka wa Kenya na Tanzania, ili kuzuia uharibifu wa Vigingi hivyo vinavyoendelea kukarabatiwa kutoka eneo la Muhuru Bay kwenye ziwa Victoria hadi eneo la Vanga iliyoko Bahari Hindi.