Maafisa wa KICC waongoza kampeni ya kupanda miti Nyandarua

  • | Citizen TV
    113 views

    Wakati huu mvua nyingi inaendelea kunyesha katika sehemu nyingi za nchi, raia wanahimizwa kuchukua fursa ya hii kuchangia katika shughuli za upanzi wa miti ili kuhifadhi mazingira.