Maafisa wa kliniki wafanya maandamano jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    121 views

    zimetimia siku 37 za maandamano ya maafisa wa kniliki. Hii Leo waliandaa maandamano yao kuanzia uwanja wa (Green Park ) kuelekea katika wizara ya Afya na Kisha katika ofisi za (SRC) wakiitaka serikali kutimiza matakwa yao.