Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa Msalaba Mwekundu watoa mafunzo Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    552 views
    Duration: 3:16
    Shirika la Msalaba Mwekundu limeendesha zoezi la kuigiza jinsi ya kukabiliana na majanga mbalimbali katika eneo la Kacheliba, Kaunti ya Pokot Magharibi. Zoezi hilo limewaleta pamoja wakazi wakiongozwa na machifu wao, likilenga kuwapa ujuzi wa kuchukua hatua za haraka wakati wa majanga.