Maafisa wa nyanjani wa kuuza mbolea ya serikali ya Kakamega wadai kutishiwa maisha

  • | West TV
    90 views
    Kumeibuliwa tetesi za kutishiwa maisha kwa wafanyikazi wa serikali ya kaunti ya kakamega wanaowauzia wakulima mbolea na viongozi wengine kaunti hiyo, kamishna wa kaunti hiyo michael mwangi akiwataka viongozi na wakazi kuwajukumisha wataalamu kuhusu ubora wa mbolea inayoleta utata