Maafisa wa polisi eneo la Starehe jijini Nairobi wanamzuilia mshukiwa wa mauaji ya mfanyibiashara

  • | K24 Video
    103 views

    Maafisa wa polisi eneo la Starehe jijini Nairobi wanamzuilia mshukiwa wa mauaji ya mfanyibiashara. mshukiwa mahad Ahmed Farah anadaiwa kumdunga kisu Abdifatah Hassan Bare kifuani na kumuua mchana peupe