Maafisa wa Polisi jijini Nairobi wawaokoa watoto 16 kutoka nyumba la kupangisha eneo la Kayole

  • | TV 47
    83 views

    Maafisa wa upelelezi wa jinai jijini Nairobi wanachunguza kile kinachodhaniwa kuwa mtandao wa biashara haramu ya watoto baada ya watoto 16 kuokolewa kutoka nyumba moja ya kupangisha katika eneo la Soweto huko Kayole siku ya Jumapili.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __