Maafisa wa polisi Kiambu wanawazuilia washukiwa wanne wa utekaji nyara

  • | K24 Video
    23 views

    Maafisa wa polisi kituoni Ruiru kaunti ya Kiambu wanawazuilia washukiwa wanne wa utekaji nyara kwa madai ya kuwateka nyara watu wawili. Washukiwa hao walitiwa mbaroni wakiwa mafichoni huko juja baada ya kuwateka nyara wauzaji fulani wa gari na kuliiba gari lililokuwa likiuzwa.polisi wanaarifu wangali wanawasaka washukiwa zaidi waliokuwa pamoja na genge hilo ambalo lilitaka shilingi milioni tano kuachilia mateka…