Maafisa wa polisi wadumisha usalama maeneo tofauti nchini wakati wakenya wakisherehekerea mwaka mpya

  • | K24 Video
    190 views

    Maafisa wa polisi walidumisha usalama maeneo tofauti nchini wakati wakenya wakisherehekerea mwaka mpya. Kwa mujibu wa idara ya polisi kulikuwa na matukio machache ya uhalifu yaliyoripotiwa kinyume na miaka ya awali. aidha darubini ya runinga ya k24 tv iliangazia jijini Nairobi kunasa matukio ya usiku wa kuamkia leo na huyu hapa franklin wallah akitupasha jinsi polisi walipiga doria na kuhakikisha sherehe za kuvuka mwaka ziliendelea bila kero ya uhalifu.