Maafisa wa polisi wahudhuria sala wakati wa maandamano

  • | Citizen TV
    854 views

    Maafisa wa polisi wanapokuwa mstari wa mbele kukabili waandamanaji mara nyingi hukashifiwa kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi na kuonekana hawana huruma na wananchi wanaotekeleza haki zao za kimsingi