- 816 views
Maafisa wa polisi wanalalamikia ukosefu wa vifaa na fedha za kutekeleza majukumu yao. Kwenye kikao cha kutoa maoni mbele ya jopokazi la kushughulikia maslahi ya maafisa wa usalama linaloongozwa na aliyekuwa jaji mkuu David Maraga, Idara tofauti za polisi zimeratibu vikwazo vinavyozizuia kutekeleza kazi zao kikamilifu kama vile bunduki za kisasa, vifaa vya kutegua mabomu, na magari, miongoni mwa changamoto zingine. Ni kikao cha kwanza cha jopokazi la maraga kufanya vikao. jopokazi hilo liliundwa kutafuta mbinu za kuboresha utendakazi wa polisi pamoja na mishahara, na mazingira ya kazi.
Maafisa wa polisi walalamikia ukosefu wa vifaa na fedha za kutekeleza majukumu yao
- 13 Aug 2025 - President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
- 13 Aug 2025 - The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
- 13 Aug 2025 - Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
- 13 Aug 2025 - The Universities' Academic Staff Union (UASU) has once again issued a seven-day strike notice to Moi University over delayed salaries and other agreements that have not been honored.
- 13 Aug 2025 - Dr. Duncan Oburu Ojwang has declined President William Ruto's nomination to the position of Chairperson of the Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR).
- 13 Aug 2025 - Dr. Duncan Oburu Ojwang has declined President William Ruto's nomination to the position of Chairperson of the Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR).
- 13 Aug 2025 - Nairobi County is set to receive the largest allocation.
- 13 Aug 2025 - A requiem mass for the victims will be held at Naki AIC Church in Nyakach on Thursday.
- 13 Aug 2025 - The attack took place during a patrol in the Intensive Protection Zone of Tsavo West National Park.
- 13 Aug 2025 - The attack took place during a patrol in the Intensive Protection Zone of Tsavo West National Park.