Maafisa wa polisi waliomshambulia na mmoja kumpiga risasi Boniface Kariuki kuzuiliwa KWA SIKU 15

  • | NTV Video
    1,269 views

    Maafisa wawili wa polisi Klinzy Barasa na Duncan Kiprono ambao walionekana wakimshambulia mchuuzi wa barakoa jijini Boniface Kariuki na mmoja wao kumpiga risasi ya kichwani watazuiliwa katika kituo cha polisi cha Capitol Hill kwa siku 15.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya