- 576 views
Maafisa wa polisi waliokuwa wakishika doria kando ya barabara kuu ya Migori - Isebania wamenasa bangi katika eneo la isebania mpakani Kenya na Tanzania.Bangi hiyo ilikuwa ikisafirishwa kwa gari kibinafsi. kamanda wa polisi Migori, Peter Kimani, alithibitisha kisa hicho na kueleza kwamba kunaswa kwa mihadarati hiyo, yenye thamani ya shilingi Milioni moja, iliwezeshwa kwa uhusiano kati ya wananchi na polisi.Kimani aliendelea kueleza kuwa watu waliokuwa ndani ya gari hilo waliamua kuliacha na kukimbia.
Maafisa wa polisi wanasa bangi katika eneo la Isebania mpakani Kenya na Tanzania
- - Duniani Leo ››
- 22 Aug 2025 - Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has shed light on how the government secured the release of the
- 22 Aug 2025 - Scores were injured as former deputy president Rigathi Gachagua's supporters clashed with armed goons who attempted to disrupt the procession from JKIA.
- 22 Aug 2025 - The Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has called on Members of Parliament to embrace transparency in the
- 22 Aug 2025 - The People’s Liberation Party (PLP) leader, Martha Karua, has questioned the huge sums of money splashed in churches by
- 22 Aug 2025 - No rest for Roy: Tycoon's body trapped in 11-year burial stalemate
- 22 Aug 2025 - Safaricom unveils time-based internet bundles
- 22 Aug 2025 - Why Ruto wanted the anti-laundering Bill
- 22 Aug 2025 - Rashid trial: Teens shot 10 times, says pathologist
- 22 Aug 2025 - A charged return: Gachagua's frenzied homecoming to violent ambush on city highway
- 22 Aug 2025 - Police exhume five bodies in Kwa Binzaro cult probe