Maafisa wa polisi wanasa bunduki eneo la Doldol kaunti ndogo ya Laikipia Kaskazini

  • | Citizen TV
    1,547 views

    Maafisa wa polisi wamenasa bunduki inayoaminiwa kutumika katika uhalifu eneo la Doldol kaunti ndogo ya Laikipia Kaskazini, kufuatia operesheni ya kulinda usalama eneo hilo.