Maafisa wa polisi wavamia nyumba inayoaminika kugemewa pombe haramu Kirinyaga

  • | Citizen TV
    2,246 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Kirinyaga wamevamia nyumba moja inayoaminika kutumika kama eneo la kugemea pombe haramu. Watu wengine 30 pia wamekamatwa katika mtaa wa ngomongo eneo la Kutus kutokana na kukiuka marufuku ya uuzaji pombe pamoja na kujihusisha na biashara hiyo. Hata hivyo wamiliki wa vilabu Kirinyaga wanamtaka gavana anne waiguru, kubatilisha marufuku yake ya uuzaji pombe.