Maafisa wa serikali washtumiwa kwa kuuza chakula cha msaada

  • | KBC Video
    32 views

    Viongozi wa kaunti ya Marsabit wameshtumu kile wamekitaja kuwa hatua ya baadhi ya maafisa wa serikali ya kuiba na kuuza chakula cha msaada kinachonuiwa kuwanufaisha waathiriwa wa ukame katika eneo hilo. Kulingana na naibu gavana wa kaunti hiyo Solomon Gubo, wengi wa maafisa hao watukutu ni wale wanaolinda maghala.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #relieffood #dirayamagwiji New