Maafisa wa serikali ya Kirinyaga wakagua maeneo ya burudani

  • | Citizen TV
    115 views

    Idara tofauti za serilkali kuu na serikali kaunti ya Kirinyaga zimeanza shughuli za kukagua baa na kumbi za starehe ili kubaini zilizokiuka utaratibu wa kuuza vileo.