Maafisa wa serikali ya kitaifa wahimizwa kushiriki miradi ya maendeleo

  • | KBC Video
    44 views

    Maafisa wa serikali ya kitaifa katika kaunti ya Garissa wameagizwa kukadiria utekelezaji wa miradi ya serikali katika maeneo yao ya usimamizi.Kamishna wa kanda ya Kaskazini Mashariki John Otieno amesema ukadiriaji huo wa miradi unaambatana na matakwa ya Wakenya ya kuhakikisha uwajibikaji katika matumizi ya pesa za umma. Machifu pia wametakiwa kuandaa vikao kujadili amani katika jamii hususan wakati wa msimu wa ukame ambapo mizozo hukithiri kuhusiana na malisho na maji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive