Maafisa wa ubalozi wa Israeli wazuru Taita Taveta kusaka mbinu bora za kuendeleza miradi ya kilimo

  • | Citizen TV
    343 views

    Maafisa wa ubalozi wa nchi ya Israel nchini Kenya wanaeandeleza ziara yao ya siku mbili kaunti ya Taita-Taveta kusaka mbinu bora za kuendeleza miradi ya kilimo. maafisa hao wamezurumiradi ya maji kama vile njoro kubwa, ziwa chala na miradi ya kilimo cha mpunga na kiwanda cha ndizi mjini Taveta.