Maafisa wa uchaguzi wakamilisha matayarisho ya uchaguzi mdogo katika wadi ya Kiamokama, Kisii

  • | Citizen TV
    Saa chache tu kabla ya Uchaguzi mdogo Kuandaliwa katika wodi ya Kiamokama, Nyaribari Masaba kaunti ya Kisii, afisa Msimamizi wa IEBC Mark Manco anasema kuwa mikakati imewekwa kuhakikisha kuwa zoezi hilo la hapo kesho linafanyika kwa njia huru na ya amani.