Maafisa wa usajili wa vyama vya kisiasa wafanya kongamano kuwahamasisha walemavu

  • | Citizen TV
    234 views

    Maafisa wa usajili wa vyama vya kisiasa humu nchini wanafanya kongamano la kuwahamasisha walemavu katika kaunti ya Uasin Gishu. Lengo kuu la kongamano hilo ni kuwaelimisha wakazi kuhusu umuhimu wa walemavu kupigania nyadhifa mbalimbali kwenye vyama vya kisiasa humu nchini kwani wana uwezo kama watu wengine.