Maafisa wa usalama eneo la Mombasa wawazuilia washukiwa 177

  • | Citizen TV
    1,514 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Mombasa wanawazuilia washukiwa 177 wa uhalifu, kufuatia visa vya mashambulizi ya magenge vinavyoendelea kuripotiwa eneo hilo. Hii ni baada ya mashambulizi ya magenge kuwaacha baadhi ya wakaazi wakiuguza majeraha na hata kukadiria hasara baada ya mashambulizi