Maafisa wa usalama katika kaunti ya Nyandarua waharibu bangi yenye thamani ya shilingi 400,000

  • | Citizen TV
    1,458 views

    Maafisa wa usalama katika kaunti ya Nyandarua wameharibu bangi yenye thamani ya shilingi 400,000 katika msitu wa ndaragwa.