Maafisa wa usalama Kisii wanafanya mkutano baada ya vikundi viwili pinzani kupanga maandamano

  • | Citizen TV
    3,231 views

    Maafisa wa idara ya usalama kaunti ya Kisii wanazungumzia msukosuko wa Kisiasa kaunti hiyo huku wakiratibu mikakati ya usalama. Maafisa hao wakiongozwa na kamanda wa kaunti ya Kisii Charles Kases wanaratibu mikakati hiyo huku vikundi viwili pinzani vikipanga kufanya maandamano. Chrispine Otieno anaungana nasi mubashara kutoka Kisii na mengi zaidi..