Maafisa wa usalama kutoka Trans Mara Magharibi wafanya mkutano wa amani eneo hilo

  • | Citizen TV
    360 views

    Maafisa wa usalama kutoka Trans Mara Magharibi wanafanya mkutano wa amani kwenye mpaka wa Nkararo-Enoretet hilo baada ya vita kuzuka tena kwenye mpaka huo na kuacha watu kadhaa na majeraha ya mishale. Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde anaongoza mkutano huo wa kutafuta amani.