Maafisa wa usalama wamemwaga mitungi 45 ya pombe haramu huko Lamu

  • | Citizen TV
    884 views

    Maafisa wa polisi Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wamemwaga mitungi 45 ya pombe haramu iliyonaswa kwenye oparesheni iliyofanywa kwa siku 10 Kisiwani humo. Pombe hiyo ya mnazi na pombe ya mkoma imenaswa maeneo ya Manda Maweni, Wiyoni na Mararani Kisiwa cha Amu na Kisiwa cha Manda. Kwenye oparesheni hiyo watu 20 walitiwa mbaroni