Maafisa wa usalama wanachunguza kutoweka kwa Brian Odhiambo

  • | Citizen TV
    2,784 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Nakuru wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kutoweka kwa kijana mmoja wiki iliyopita. Inaripotiwa kuwa, Brian Odhiambo ambaye ni mvuvi alitoweka baada ya kupigwa na maafisa wa shirika la huduma kwa wanyama pori nje ya mbuga ya Nakuru Jumamosi iliyopita.