Maafisa wa usalama wapanda miti katika msitu wa Kitale block 4

  • | Citizen TV
    459 views

    Maafisa wa usalama katika kaunti ya Trans-Nzoia wameanzisha harakati za kupanda miti katika msitu wa Kitale block 4. msitu huo ulitumika sana enzi za wakoloni kupata miti ya kuzalisha nishati ya kuendesha garimoshi.