Maafisa wa utabibu wasisitiza kuwa wataendelea na mgomo wao

  • | KBC Video
    20 views

    Maafisa wa utabibu wanaogoma wametilia shaka kongamano la nne la kitaifa kuhusu mswada wa gharama ya ulipaji mishahara la wiki ijayo wakisema kuwa halitaangazia ipasavyo suala la mishahara kwa wafanyakazi hasa wafanyikazi wa afya. Maafisa hao ambao mgomo wao umeingia siku ya nane, wamesisitiza kuwa bado wataendelea na mgomo wao hadi pale matakwa yao yatakapoangaziwa. Hata hivyo magavana wametaka maafisa wa afya kurejea kazini la sivyo watasimamishwa kazi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News