Maafisa wa watahadharishwa dhidi ya utoaji wa misaada ya elimu mara mbili kwa wanafunzi Narok

  • | NTV Video
    132 views

    Maafisa wa elimu wametahadharishwa dhidi ya utoaji wa misaada ya kimasomo mara mbili kwa hasara ya wanafunzi wenye uhitaji. Gavana wa Kaunti ya Narok, Patrick Ole Ntutu, ametoa wito wa dhati kwa maafisa wa misaada ya kimasomo kuepuka kutoa misaada mara mbili kwa wanafunzi walioshapewa misaada.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya