Maafisa wa wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda wazuru Siaya

  • | Citizen TV
    140 views

    Maafisa wa Wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda wanazuru Kaunti ya Siaya kwa majadiliano ya pande tatu kati ya Idara ya Unyunyizaji mashamba maji, serekali ya kaunti hiyo na idara ya viwanda.