Skip to main content
Skip to main content

Maafisa watatu Garissa washtakiwa kuhusiana na ufisadi wa shilingi milioni 51 kwa misaada ya njaa

  • | Citizen TV
    2,125 views
    Duration: 2:47
    Maafisa watatu wa kaunti ya Garissa wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuilaghai kaunti hiyo shilingi milioni 51 zilizokusudiwa kununua chakula cha msaada kwa waathiriwa wa baa la njaa mwaka 2022. Miongoni mwa washtakiwa ni afisa wa maendeleo ya jamii katika kaunti hiyo ambaye alishtakiwa kwa madai kuwa kampuni yake ilitumika kupokea fedha hizo bila kuwepo kwa kandarasi halali wala kuwasilishwa kwa chakula chochote.