Skip to main content
Skip to main content

Maafisa watatu wa Hairobi hospital washtakiwa kwa makosa mbalimbali

  • | Citizen TV
    8,917 views
    Duration: 8:58
    Maafisa watatu wakuu wa Nairobi hospital pamoja na mkurugenzi wa zamani wa hospitali hiyo wamefikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali. Wanne hao walikamatwa siku tofauti na kuzuiliwa katika vituo tofauti vya polisi kutokana na mgogoro wa uongozi wa hospitali ya Nairobi hospital.