Maafisa wawili wa polisi na mwalimu mmoja wafariki kufuatia shambulizi la kigaidi Mandera

  • | Citizen TV
    1,053 views

    Maafisa wawili wa polisi na mwalimu mmoja wamefariki kufuatia shambulizi la kigaidi katika kituo cha polisi cha Wargadud, Mandera.Magaidi hao walivamia kituo hicho cha polisi saa saba usiku wa kuamkia leo na kuwauwa watatu hao. Aidha waliteketeza gari la polisi la kituo hicho na kuharibu minara ya mawasiliano ya kampuni ya safaricom. Tutakupasha mengi zaidi kadri tutakapopata taarifa zaidi.