Maafisa wawili wa polisi wafungwa miaka 35 kwa mauaji ya Dennis Lusava

  • | NTV Video
    67 views

    Maafisa wawili waliopatikana na makosa ya mauaji ya Dennis Lusava ambaye aliuwawa baada ya kuteswa nao eneo la Mbururu wamepokea kifungu cha miaka 35 kila mmoja.