Maafisa wawili wa polisi walionaswa na kamera wakimpiga risasi mchuuzi wasimamishwa kazi

  • | KBC Video
    28 views

    POLISI TENA?

    Maafisa wawili wa polisi wahusishwa na ufyatuaji risasi Nairobi

    Klinzy Barasa Masinde na Duncan Kiprono wamesimamishwa kazi

    Maafisa hao walimpiga risasi mwanamume jijini Nairobi

    Walinaswa na kamera wakimshambulia na kumpiga mwathiriwa

    #Darubini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive