Maafisa zaidi waajiriwa kusaidia katika udhibiti wa msambao wa ugonjwa wa Mpox

  • | TV 47
    16 views

    Maafisa zaidi kutoka ofisi za uhamiaji watapelekwa kwenye mipaka ili kuimarisha juhudi za kulinda mipaka dhidi ya kuenea kwa ugonjwa wa mpox nchini kenya.katibu mkuu wa uhamiaji, Profesa Julius Bitok, akisema kwamba maafisa hao wanatarajiwa kufanya kazi kwa ukaribu na wizara ya afya na taasisi nyingine za serikali ili kuhakikisha wageni wanachunguzwa kwa virusi hivyo. Katibu mkuu alikuwa akizungumza baada ya kusimamia kuhitimu kwa maafisa 300 wapya wa uhamiaji katika shule ya serikali ya kenya huko kabarnet, kaunti ya Baringo.wahitimu hawa walipitia mafunzo ya kina kwa wiki tano kuhusu mchakato wa uhamiaji, usalama, ujasusi na mawasiliano.haya yanajiri siku chache baada ya waziori wa afya kutangaza kuongezeka kwa visa vya ugonjwa huu nchini kenya idadi ya wagonjwa hawa ikihesabu sasa saba. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __