Maalim Seif: ‘Mimi ni muumini mkubwa wa muungano wa Tanzania, ila nataka muungano wa haki na usawa'

  • | BBC Swahili
    Maalim Seif Sharif Hamad ni mgombea wa urais visiwani Zazniabar kupitia chama cha upinzania cha ACT-Wazalendo. Zuhura Yunus amezungumza naye ambapo ameaianisha mambo anayoyapa kipaumbele na mengine mengi. Mwanzo alimwuuliza kama anajutia uamuzi wao wa kususia marudio ya uchaguzi mkuu uliopita. #MaalimSeifSharifHamad #ACTWazalendo #Zanzibar