Maambara tembezi ya sayansi

  • | BBC Swahili
    134 views
    Maambara tembezi ya sayansi safari, imeazimia kuzifikia shule zaidi hasa maeneo ya vijijini ili kutoa huduma ya maabara kwa shule za serikali za msingi na sekondari Tangu kuanzishwa kwake mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 tayari imezifikia shule zaidi ya 200 Tanzania nzima Maabara hii inalenga kutatua changamoto iliyopo ya ukosefu wa maabara katika shule nyingi za umma hivyo wanafunzi kukosa nafasi ya kufanya mazoezi kwa vitendo na kurahisha uelewa wa mada mbalimbali ambazo tayari zimefundishwa kwa nadharia. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds_ ameandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #elimu