Maambukizi ya HIV katika kaunti ya Wajir yaongezeka

  • | Citizen TV
    1,443 views

    Ripoti ya hivi majuzi inaonyesha kuwa maambukizi ya virusi vya HIV yameongezeka mno katika kaunti ya Wajir ikilinganishwa na kaunti zingine. na kama anavyoripoti mwanahabari wetu wa kaunti hiyo Hashiim Jimaal, idara ya afya ya Kaunti ya Wajir imethibitisha kuwa watu zaidi ya kumi huambukizwa HIV kila mwezi.