Maambukizi ya HIV | Visa vipya 29,000 vimeripotiwa tangu 2022

  • | KBC Video
    47 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali imejitolea kukabili maambukizi mapya ya ukimwi,mimba za mapema pamoja na ghasia za kimapenzi na kijinsia miongoni mwa vijana nchini.Gachagua aliongeza kwamba serikali inashirikiana na maafisa wa utawala,wabunge na wadau wengine kukabili vitisho dhidi ya wato na vijana nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #HIV #News #vitadhidiyaukimwi