2 Dec 2025 1:23 pm | Citizen TV 145 views Duration: 1:46 Kaunti ya Kirinyaga imerekodi kupungua kwa maambukizi mapya ya hiv, visa vikiwa vimeshuka hadi 91 mwaka huu kutoka 779 mwaka 2013, na kuiweka miongoni mwa kaunti bora katika udhibiti wa hiv.