Maambukizi ya ugonjwa wa covid nchini kimepungua hadi asilimia 11.4% katika kipindi cha 24 iliopita

  • | KBC Video
    Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini kmepungua hadi asilimia 11.4% katika kipindi cha 24 iliopita . Wizara ya afya imesema kuna visa vipya 787 vya maambukizi ya ugonjwa huo vilivyoripotiwa katika kipindi hicho kutoka sambuli 6,892 zilizofanyiwa uchunguzi . Kufikia sasa, nchi hii imerekodi idadi ya jumla 195,898 ya maambukizi ya ugonjwa huo kutoka sambuli 2,081,502. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya