Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi ya watu 401 yameripotiwa maeneo mbalimbali nchini

  • | Citizen TV
    3,249 views
    Duration: 3:32
    Wizara ya afya na shirika la msalaba mwekundu zimetoa tahadhari ya maambukizi zaidi ya ugonjwa wa mpox nchini huku takwimu zikionyesha kuwa taifa limesajili watu 401 walioambukizwa kufikia sasa. Kaunti ya mombasa inaongoza kwa maambukizi ya watu 192. Kampeni hiyo inalenga kutoa hamasisho kwa umma kuhusu ugonjwa wa mpox. Francis Mtalaki anaarifu kutoka Mombasa.