19 Mar 2026 1:41 pm | Citizen TV 3,723 views Duration: 1:48 Maandalizi makubwa ya kusherehekea siku kuu ya Eid al-Fitr yanaendelea ndani ya kituo cha biashara cha BBS Mall mtaani Eastleigh baada ya kukamilika kwa mwezi mtukufu ya Ramadhan