Maandalizi michezo ya shule

  • | Citizen TV
    231 views

    Baada ya kunyakuwa ubingwa wa ukanda wa nyanza, shule ya upili ya Agai imeboresha maandalizi yake kuelekea mchuano wa kitaifa kwa shule za upili utakaoanza Julai 28 kaunti ya Kakamega.