Maandalizi ya CHAN 2025 yaendelea Kenya, Uganda na Tanzania

  • | NTV Video
    195 views

    Makatibu wa Baraza la Mawaziri wa Michezo kutoka Kenya, Tanzania na Uganda leo wamefanya kikao na maafisa wa kiufundi na wawakilishi kutoka CAF kuhusiana na maandalizi ya Chan ya mwaka huu 2025 yanayotarajiwa kuanza Agosti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya